register
forgot password

Crispin Challe - Music - Kwa Neema Yako

Genre:
Gospel
Added:
23-04-2014
Position:
6 in Gospel, 795 overall

Chorus
Ni Kwa Neema Yako Bwana,
Ni Kwa Neema Yako Jehovah,
Ni Kwa Neema Yako Yesu,
Mimi Kuwa Hivi Nilivyo x2

Verse 1
Nikitazama kule nilipotoka,
Nikitazama hapa nilipofika,
Ikiwa ni fumbo kule ninapokwenda,
Kweli kuishi kwetu bwana ni neema yako,
Majaribu ni mengi ninayavuka,
Navyovita vikali ninavishinda,
Sio kwa akili wala nguvu zangu Baba eeeh,
Kweli kuishi kwetu Bwana Ni Neema Yako,
Ni mara ngapi tunakukosea Baba,
Tunakuudhi tena tunarudi nyumas eeeh,
Wewe huchoko unatutendea mema,
Ndo mana leo nimeona nikuinue Yahwe, wowo wo ooo waaah

Chorus
Ni Kwa Neema Yako Bwana,
Ni Kwa Neema Yako Jehovah,
Ni Kwa Neema Yako Yesu,
Mimi Kuwa Hivi Nilivyo x2

Verse 2
Hakuna mwanadamu ambae angeweza ah,
Kunifikisha nilipofika sasa aaah,
Wanadamu Baba tunachukiana sana ah,
Wivu vita Baba chuki twandeana aaah,
Israel, kuelekea kaanani iiihii,
Walikuudhi wakiwapo njiani ihiii,
Hukuwaacha ukawaongoza vyema aaah,
Walipokuwa na njaa Yesu uliwalisha mana aah,
Ni mara ngapi tunakukosea Baba,
Tunakuudhi tena tunarudi nyumas eeeh,
Wewe huchoko unatutendea mema,
Ndo mana leo nimeona nikuinue Yahwe, wowo wo ooo waaah

Chorus
Ni Kwa Neema Yako Bwana,(Kwa Neema yako Ya Msalaaaba)
Ni Kwa Neema Yako Jehovah,(Yeesu wangu wewewee)
Ni Kwa Neema Yako Yesu,(Ni kwa Neema Yako Baba Eee Yeah)
Mimi Kuwa Hivi Nilivyo (Nasoma)
Ni Kwa Neema Yako Bwana,(Kwa Neema Yako Weee aah)
Ni Kwa Neema Yako Jehovah,(Ni wewe Baba ni wewe Yeesu)
Ni Kwa Neema Yako Yesu,(Ni kwa Neema Yako Wewe wewe Iiiiyeh)
Mimi Kuwa Hivi Nilivyo (Hivi Nilivyo ooooh yeah)

Bridge
Mmmh!
Kwa Neema Yaako (Neema yako Baba)
Ya msalaba Yeyeye (Oooh Eeeeeh)
Kwa Neema Yako Baba (Wowo Baba Weeh) Baba wewe yeah (Yehova) Mimi kuwa hivi nilivyo leo (Yehovah Baba aaah)

Chorus
Ni Kwa Neema Yako Bwana,
Ni Kwa Neema Yako Jehovah,
Ni Kwa Neema Yako Yesu,
Mimi Kuwa Hivi Nilivyo x 4

Overall perfomance
StaffStaffStaffStaffStaff
Individual musicianship
StaffStaffStaffStaffStaff
Originality
StaffStaffStaffStaffStaff
Composition
StaffStaffStaffStaffStaff
Marketable
StaffStaffStaffStaffStaff