register
forgot password

Ted Mudida - Music - Mama Africa - Jolejo

Genre:
Reggae
Added:
27-11-2011
Position:
28 in Reggae, 1939 overall

Hivi sasa nakueleza,
Mama afrika nakuwaza,
Umbo lako la dhamini,
Lanifanya kua chizi..

ras Nelly

U - la ulalalaa..
Ona wanyama wa mwitu msitu,
i - ga igagagaa..
Afrika ua langu la Waridi.
Namachiz maskanee,
Tuelewane tupendane,

Am standing up, standing up...Yeaah
To be an African, as an A frican..X 2
VIGELE GELE SHANGWE TURUKE KIAFRICA..

ras Nelly

Hatulegei tena mwafrica ashasema,
Sum tushatema hamna la kusema,
Mgema ako kandoni... anahema,
Tushavishwa pete aw sisi ni wema.
Tujenge imani, imani na majirani,
Tujenge africa juu tuko jukwani
Africa zi vita upendo ni kinga,
Tusha hakikisha maramia watapisha.

''chant''

chorus x..4

Overall perfomance
StaffStaffStaffStaffStaff
1
Individual musicianship
StaffStaffStaffStaffStaff
0
Originality
StaffStaffStaffStaffStaff
1
Composition
StaffStaffStaffStaffStaff
1
Marketable
StaffStaffStaffStaffStaff
1